Kuna wakati hauko karibu na radio yako,
stori muhimu zinakupita.. Najitahidi kuhakikisha uchambuzi wa Stori za
Magazetini ambao unakuwa unafanywa redioni haukupiti.
Nimekurekodia stori zote
zilizochambuliwa kwenye Magazeti na kukuwekea hapa sauti yote, iko stori
ya Wabunge kuanza kujadili Bajeti ya mwaka 2015/16 leo, Waziri Samuel Sitta kurejesha form yake ya kugombea Urais leo makao makuu ya CCM Dodoma.. William Ngeleja nae yuko kwenye list ya wanaoutaka Urais 2015.
Kuna stori pia kuhusu ugonjwa wa ajabu
uliozuka Sengerema unaofanana na dalili za ugonjwa wa Kaswende,
inasemekana ugonjwa huo haumbukiza kwa njia ya kujamiiana.. Stori hizo
zote na nyingine kubwa ziko kwenye hii sauti hapa kutoka @PowerBreakfast #CloudsFM

Note: Only a member of this blog may post a comment.