Thursday, June 25, 2015

Anonymous

PICHAZ: CHADEMA WAFUNIKA JIJINI DAR!

Mgombea Udiwani Kata ya Mombasa, Dar kwa tiketi ya Chadema, Oswald Mbogolo akiwahasa wananchi wa Ukonga kujitokeza na kujiandikisha kwa ajili ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Wananchi wa Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam wakimsikiliza mgombea udiwani wa Kata ya Mombasa leo eneo la Ukonga.
(PICHA NA GPL)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.