MDOGO AKE KIM KARDASHIAN, KYLIE JENNER ACHARUKA MTANDAONI!
Mwanamitindo maarufu ambaye pia ni mtangazaji, Kylie Jenner.
NEW YORK, Marekani
MWANAMITINDO maarufu ambaye pia ni mtangazaji, Kylie
Jenner juzikati amecharuka mtandaoni na kummwagia matusi shabiki wake
aliyemuuliza swali kuhusu kazi ya lipsi zake kwenye ulimwengu wa
mapenzi.
Mwanamitindo
huyo alionekana kuja juu kwanza kutokana na kitendo cha shabiki huyo
kumchanganya jina kwa kumuita jina la dada yake, Kendall Jenner kisha
kumuuliza swali ambalo lilimchukiza na kumwaga matusi ambayo
hayaandikiki.“
Unaweza kuuliza swali la kijinga kiasi hicho, nisawa
alivyoporomoshewa matusi,”aliandika shabiki mmoja kwenye ukurasa wake wa
Instagram.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.