Staa hot, modo wa ukweli, Kim Kardashian.
New York, Marekani
STAA hot, modo wa ukweli, Kim Kardashian, almanusura aanguke kufuatia kiatu alichokivaa kuwa kirefu, hivyo kusababisha ajikwae, Ijumaa iliyopita huko Beverly Hills.
STAA hot, modo wa ukweli, Kim Kardashian, almanusura aanguke kufuatia kiatu alichokivaa kuwa kirefu, hivyo kusababisha ajikwae, Ijumaa iliyopita huko Beverly Hills.
Mrembo huyo ambaye ni mtangazaji wa Kipindi cha Keeping up With the
Kardashians, ni mke halali wa rapa Kanye West, sasa hivi ana mimba ya
mtoto wa pili baada ya North West.
Wakati akienda kujadiliana bei na muuzaji, Kim alisikika akisema:
“Ooh Mungu wangu, natamani kuvitoa hivi viatu. Havinipi uhuru. Sitaki
kuvivaa, nataka kuondoka ili nikavitoe.”

Note: Only a member of this blog may post a comment.