Super producer aliyewahi kumiliki dola milioni 70 kwa kutengeneza orodha ndefu ya hits za mastaa mbalimbali , Scott Storch ameingia kwenye janga la pesa kiasi cha kufikia hatua ya kubaki akimiliki dola 100 pekee!.
Kwa mujibu wa TMZ, sababu kubwa iliyomuingiza producer huyo kwenye janga la kufilisika ni matumizi ya dawa za kulevya.
Hata hivyo Scott ameiambia TMZ kuwa kuna nyimbo mpya alizowatengenezea Chris Brown na Tyga, anaamini zitakapotoka zinaweza kumuokoa kutoka kwenye janga hilo.
Kwa sasa Storch ana label mpya iitwayo CCS na tayari amemsaini muimbaji wa R-n-B, Mario.
Hii ni orodha ya baadhi ya hits alizotengeneza:
1.”Baby Boy” (BeyoncĂ© featuring Sean Paul)
2. Me, Myself And I” (BeyoncĂ©)
3.”Cry Me a River” (Justin Timberlake)
4. “Lighters Up” (Lil’ Kim)
5.”Let Me Love You (Mario song)”
6.”Lean Back” (Fat Joe featuring Remy Ma)
7.”Candy Shop” (50 Cent featuring Olivia)
8.”Playa’s Only” (R. Kelly featuring The Game)
9.”Make It Rain” (Fat Joe featuring Lil Wayne)

Note: Only a member of this blog may post a comment.