Wanawake wengi wanaopenda kushiriki
urembo huwa wakawamekuwa wakitumia chakula kidogo sana na wengine
kujinyima kula kabisa ili kufanya miili yao ibaki kuwa midogo, lengo
likiwa kutimiza nia yao ya kushiriki mashindano mbalimbali ya urembo.
Hii ishu ni kama imenishtua hivi,
mwanaume kufanya jitihada ili aote maziwa kama mwanamke na aende
kushiriki mashindano ya Urembo.. Juan Sanchez ni raia wa Mexico,
lengo lake la kujiongeza maziwa halikufanikiwa.. alijichoma sindano ya
mafuta kifuani ili awe na maziwa kama mwanamke, yale mafuta yalikuwa na sumu ambayo ilisambaa kwenye mapafu na ubungo na baadae alifariki
Baada ya kujichoma sindano hiyo alianza
kuumwa, marafiki zake wakampeleka hospitali ya jirani ambapo alipofika
daktari alisema dawa aliyotumia ilikuwa sumu ambayo ilisambaa kwenye
ubongo na mapafu na ndiyo iliyomsababishia kifo siku nane tu baada ya
kujichoma sindano hiyo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.