Kuna
viwanja vya ndege ambavyo ni vya kawaida labda kama huwa ni muoga
utakua unapata wasiwasi kidogo tu then inapita ila kwa viwanja hivi kuna
uwezekano mkubwa kabisa ukaogopa sababu sio viwanja vya ndege
tulivyozoea kuviona au kuvitumia.
Kwenye hii list hakuna kiwanja ambacho kipo Afrika.
Kwenye list nzima ni kiwanja gani kimekutisha zaidi? nitaomba uniachie comment yako mtu wangu..

Note: Only a member of this blog may post a comment.