Sunday, May 17, 2015

Anonymous

Ni zamu ya Abdul Kiba na Ruby kwenye headline?

Inawezekana ikawa ndiyo singo ya kwanza kushirikishwa mkali Ruby msichana ambaye kipaji chake kilionekana kwenye mashindano ya Serengeti Super Nyota Diva mwaka 2014 na baada kusikika na singo yake mwenyewe inayoitwa Na Yule.
alikiba na ruby
Singo hii ilikuwa itoke wiki kadhaa zilizopita lakini kutoka na wizi ambao ulifanyika nyumbani kwao Abdul Kiba ulisababisha project hii isimame na kwa sasa ipo tayari na itakuwa redioni kwako kuanzia wiki ijayo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.