Sunday, May 31, 2015

Anonymous

MHESHIMIWA Waziri Nyalandu na mkewe MISS TZ, Faraja Kotta kwenye jarida la bang time hii !

ba1 
Bang ni miongoni mwa Majarida ya Tanzania ambayo yamekuwepo kwenye headlines kwa muda mrefu ambapo time hii kuna toleo jipya ambalo Waziri wa mali asili Lazaro Nyalandu na mke wake ndio wamecover. 

Humo ndani wanazungumzia maisha yao, pia Waziri anazungumzia ishu yake ya kuutaka Urais wa Tanzania, amewazungumzia vijana wa Tanzania na mengine mengi hivyo ukiipata nakala yako utakutana pia na wengine akiwemo mtangazaji Sporah.
bang
DSC03145

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.