Wingi
wa watumiaji mbalimbali wa mitandao ya kijamii unafanya baadhi ya vitu
kuwezekana kirahisi ikiwemo hizi party ambazo zinawahusu zaidi watumiaji
wa huduma husika.
Naambiwa kuwa kwa sasa Tanzaniana nayo ipo kwenye list ya kuwa na
watumiaji wengi wa Instagram kutoka nchi za Afrika Mashariki,Mei 30
watumiaji wa Instagram walikutanishwa na party ya pamoja.
Mzee Majuto,Ben Pol,Shetta,Stan Bakora,Izzo B,Mirror,Wema
Sepetu,Petit Man,B dozen na Adam Mchomvu kutoka XXL ya Clouds Fm walikua
ni miongoni mwa mastaa waliokuwepo viwanja vya Posta vilivyopo Sayansi
Dar es salam.
Note: Only a member of this blog may post a comment.