Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Sunday, May 31, 2015
Anonymous
HABARI PICHAZ: RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU JIJINI DAR
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini
Dar es Salaam leo.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es
Salaam kwa mazungumzo leo.
Note: Only a member of this blog may post a comment.