Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Monday, April 6, 2015
Anonymous
VIDEO: Ulimiss kuona jinsi Diamond alivyopokewa Kistaa Rwanda? pembeni alikua na nani?
Mwimbaji staa kutokea Tanzania Diamond Platnumz alipata mwaliko kwenda kufanya show Kigali ambako alifanya show mbili, moja ilikua ni ndogo ambayo ndio hii utaiona kwenye hii video hapa chini, nyingine kubwa aliyoifanya kesho yake utaiona siku chache zijazo pia on AyoTV.
Note: Only a member of this blog may post a comment.