Monday, April 27, 2015

Anonymous

VIDEO: Hivi ndivyo Mchekeshaji Eric OMONDI alivyoirudia wimbo wote wa Diamond PLATNUMZ- Nasema Nawe

ERICO
Mara ya kwanza niliona vipisi vya hii video kwenye ukurasa wa Eric Omondi wa Instagram.. nikaviweka hapa alafu nikawa na hamu sana kuiona video kamili.
Katika pitapita zangu nimekutana nayo video kamili, Eric Omondi kaifanya REMIX ya wimbo wa ‘Nasema Nawe‘ ya Diamond Platumz, yeye yake ameiita ‘Nabeba Mawe‘.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.