Eti hii nayo tuiite surprise !!
Kanye West ni rapper ambae ana story nyingi za aina ya peke ake, unakumbuka ile story yake kugoma kabisa kutabasamu mbele ya camera za red carpet?
Safari hii kapiga show Armenia, kwanza show yenyewe ilikuwa ya bure kabisa..
Safari hii kapiga show Armenia, kwanza show yenyewe ilikuwa ya bure kabisa..
Jamaa akapiga show yake kali kabisa.. show ikanoga akajitupa kwenye maji ya ziwa huku anaendelea kuimba.. fans nao wakajitosa kwenye maji kumfuata.. Police na walinzi wake ilibidi nao waingine ili kumtoa jamaa na kuhakikisha usalama wake.

Kanye West akiwa ndani ya ziwa pembeni mashabiki wake.

Fans nao ilibidi wamfuate.
Kuangalia video hiyo bonyeza hapa chini mdau wangu…
Kanye West akiwa ndani ya ziwa pembeni mashabiki wake.
Fans nao ilibidi wamfuate.
Kuangalia video hiyo bonyeza hapa chini mdau wangu…

Note: Only a member of this blog may post a comment.