Sunday, April 12, 2015

Anonymous

PICHAZ: SHUHUDIA YANGA WALIVYOIKATA NGEBE MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA LEO!


Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatoka Mabeki wa Timu ya Mbeya City wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeishia Bao 3 - 1.
Yanga Vs Mbeya CityKiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeishia Bao 3 - 1.
Yanga Vs Mbeya City
Kipa wa Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiangalia mpira wavuni huku washabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wao.
Yanga Vs Mbeya CityWachezaji wa timu ya Yanga wakisangilia ushindi ushindi na washabiki wao.
Picha na Othman Michuzi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.