Monday, April 27, 2015

Anonymous

Majibu ya mwigizaji Rose Ndauka baada ya kuhusishwa na matatizo ya ndoa ya Shetta.. #UHeaRD


maxresdefault (1)
Taarifa zilizomfikia Soudy Brown ni kwamba ndoa ya msanii Shetta imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa Shetta anamahusiano na mwigizaji Rose Ndauka.
Soudy aliamua kumtafuta Rose Ndauka, majibu yake yalikuwa hivi; “Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli kile ambacho amesikia ni ukweli yeye kama mwanamke anapaswa kuwa strong asiondolewe nyumbani kwake kwa sababu ya mwanamke mwingine..
Kusikiliza stori yote ya U Heard bonyeza play hapa chini..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.