Monday, April 27, 2015

Anonymous

KUMEKUCHA! NAY WA MITEGO KUMPONZA ASKOFU GWAJIMA?!

Week Kadhaa zimepita sasa toka Nay wa Mitego alipotoa majibu ya DNA ya mtoto wake baada ya Utata kutokea kuwa Mtoto si wake, Majibu ya DNA yalitoka na yakaonyesha kweli mtoto ni wa Nay wa Mitego...

Kutokana na uamuzi wa Nay wa Mitego wa kwenda kuhakikisha kama mtoto ni wake watu wameanza kuongea chini chini kuwa lazima na Emmanuel Mbasha aende kumpima mtoto wake na Flora Mbasha kwani naye ana utata baada ya mume wa Flora kumtuhumu Askofu Gwajima kuwa ana mahusiano na Mke wake na ndio chanzo cha ndoa yao kuvunjika.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.