Monday, April 27, 2015

Anonymous

King Majuto: Nitapumzika Baada Ya....

Mchekeshaji mkongwe, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ amefunguka na kuweka wazi project yake mpya ya kuandaa filamu 100.
Majuto ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo ili baada ya kumaliza kazi hizo apate muda wa kupumzika wa kutosha.

“Yeah na shoot na edit halafu nahifadhi, zikifika 100 nakaa na kupumzika nakula bata, makampuni kama yakihitaji filamu mimi nawapa, mpaka sasa nipo ya sita, nyingi itakuwa nazi-shoot huku Tanga,” alisema Mzee Majuto.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.