Monday, April 27, 2015

Anonymous

HABARI NJEMA: WEMA SEPETU Azidi Kung’ara, Aukwaa Ubalozi Tena!

Mrembo wa Tanzania, muigizaji na mjasiriamali Wema Sepetu, Amesign makubaliano ya kuwa Balozi wa Hospital ya Kimataifa ya macho Iliyopo Ali hassan mwinyi Road katika jengo la Tropical House.....

Mkataba huu ni wa mwaka mmoja.. Wema amehaidi kuwa balozi wa hospitali hiyo iliyokuja na mitambo mpya ambayo itawezesha vijana wenye umri chini ya miaka 35 wanaotumia miwani kuacha kabisa utumiaji wa miwani kwakuwa wanauwezo wa kuondoa swala la uvaaji miwani kwa vijana.
By Martin Kadinda, Meneja wa Wema Sepetu
Hongera sana Wema

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.