Mwaka jana nyota muigizaji kutoka Nigeria Desmond Elliot alijitosa rasmi kwenye siasa na kuamua kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo lake la Surulere.

Desmond Elliot akipongezwa baada ya kutangazwa mshindi
Katika uchaguzi wa Nigeria uliomalizika wiki chache zilizopita karibuni huku Muhammadu Buhari akifanikiwa kushika kiti hicho, sasa ni zamu ya wabunge ambapo taarifa mpya inaeleza kuwa mwigizaji huyo nyota wa filamu ambaye pia ni mwongozaji ameweza kutangazwa mshindi wa kiti cha ubunge.

Desmond amefanikiwa kushinda nafasi hiyo baada ya kumshinda mpinzani wake Bayo Smith wa chama cha PDP.

Note: Only a member of this blog may post a comment.