Friday, April 17, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: JESHI LA POLISI LAZINGIRA NYUMBA ASKOFU GWAJIMA NA SILAHA ZA MOTO!

Jeshi la polisi likiwa na silaha za moto limezingira nyumba ya kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Askofu Gwajima lilipo salasala, jijini Dar es salaam.
Sababu haijajulikana ni nini ila tutakujuza ikishaeleweka

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.