TAARIFA ZA AWALI: TUKUYU-KYERA KUNA MGOMO WA MABASI, HIACE MOJA IKAJITOA MUHANGA KUBEBA ABIRIA, NA KUTOKANA NA HALI YA MGOMO KWA HIYO ALIKUWA IMEJAZA KUPITA KIASI. IMETUMBUKIA MTO KIWIRA. INASEMEKANA WAMEPONA WAWILI TU.
DARAJA HILO LINA UREFU WA MITA 20 KWENDA CHINI BARABARA YA MBEYA.
Endelea kufuatiliwa zaidi hapa kwa mapya yatayojiri...
NEW UPDATES Watu 19 wamefariki dunia leo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi dogo walilokuwa wakisafiria kutumbukia mtoni huko Tukuyu,Mbeya.
NEW UPDATES Watu 19 wamefariki dunia leo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi dogo walilokuwa wakisafiria kutumbukia mtoni huko Tukuyu,Mbeya.
Mungu azilaze roho za marehemu mahali peponi.
Type amen na share habari hii na wenzako kama unajali!
Type amen na share habari hii na wenzako kama unajali!

Note: Only a member of this blog may post a comment.