Friday, March 13, 2015

Anonymous

VIDEO: Diamond Platnumz' akiwa kalazwa hospitali chumba cha upasuaji TMJ Hospital [EXCLUSIVE]


Video hii inamuonyesha mkali wa Bongo Fleva, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akiwa kalazwa chumba cha upasuaji huku akiwa kazungukwa na timu ya madakitari wakiwa wanashughulika na mguu wake. 

Bado Diamond hajaweka wazi nini kilicho msibu bali yeye ameandika "Thanks alot Doctor Dossaj and the whole TMJ crew......"

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.