Friday, March 13, 2015

Anonymous

TAZAMA PICHAZ 5 ZA JUMBA LA KIFAHARI ANALOISHI SPIKA WA BUNGE UZUNGUNI DODOMA

Hatimaye Spika wa Bunge la Tanzania pale Dodoma atakuwa na makazi rasmi baada ya ujenzi wa nyumba ya Spika kukamilika na makabidhiano kufanyika. Nyumba hiyo ambayo ipo maeneo ya

Uzunguni nje kidogo ya Dodoma mjini imegharimu takribani Tshs bilioni 1.5

Billion na imejengwa na kampuni ya Pacha Building Construction Company. Hii inakuwa nyumba ya kwanza rasmi ya Spika kwani hapo awali hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika.


Mlango wa mbele

Upande wa nyuma wa jengo

Ngazi ndani ya jengo ambalo lina vyumba vinne vya kulala, sehemu ya mapumziko, sehemu ya chakula, maktaba na jiko
(Picha: Prosper Minja)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.