Sunday, March 29, 2015

Anonymous

PICHAZ: Mtoto Wa Kim Kardashian Afuata Nyayo Za Mama Yake


North West afata nyayo za mama yake za uwana mitindo mtoto huyu ameonakana mara kwa mara akiwa na mama yake hata katika sehemu mbalimbali katika majukwaa ya uwana mitindo na tayari mama yake ameanza kumjengea mtoto wake mazingira ya kuwa mwana mitindo kwa kumvalisha nguo za kisasa na namna ya kupozi katika upigaji wa picha.

Mama Na Mwana

North eti katabasamu



North katika pozi

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.