Tuesday, March 17, 2015

Anonymous

PICHAZ: Kuna ukweli wowote Manny Pacquiao kutumia dawa za kuongeza nguvu?

manny4
Kulikuwa na sintofahamu kuhusu uwezo wa bondia maarufu duniani Manny Pacquiao, zikawepo tetesi pia kwamba Pac anatumia dawa za kuongeza nguvu, wakati huo dunia nzima iko attention kuisubiri May 2 2015 Pac na Floyd Mayweather watakapokuwa wakipambana.
manny2
Pac ameamua kukata mzizi wa fitima kwa kuamua kufanya vipimo vya damu yake ili kudhibitisha kama kuna ukweli wowote kwenye tetesi za bondia huyo kutumia dawa hizo.
manny3
Wakati Pac akifanyiwa vipimo hivyo alikuwa akioneshwa live na Televisheni ya Ufilipino huku akiwa hana hofu yoyote.
manny1
Pambano hilo la kimataifa linasubiriwa na watu wengi duniani kote huku mabondia wote kila mmoja akiwa katika maandalizi ya nguvu kumkabili mwenzake.
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.