Tuesday, March 17, 2015

Anonymous

IMEVUJA! Eti Kajala, P Funk MAPENZI Upya!

Eti  Kajala, P Funk Upya!
Kwa mujibu wa gazeti la Visa, limeripoti kuwa kuna fununu kuwa staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja anadaiwa kurudiana na mzazi mwenzake P Funk Majani ambaye ni mtayarishaji nguli wa muziki wa Bongo Fleva. Hii ni kutokana ka bwana’ke amabe alimpora Wema Sepetu , CK kudaiwa kuishiwa mkwanja.

Licha ya kuwa Kajala bado yupo kwenye ndoa na mumewe anaesota gerezani, inadaiwa kwasasa  anajipooza machungu  na kushea mashuka  ya hoteli na mzazi mwenzie P Funk.  kwa mijibu wa gazeti hilo marafiki wa karibu wa Kajala waliliambia kuwa mara kadhaa Kajala amekuwa akitoka na  P Funk kwa kificho, kwa kile kilichodaiwa anamwogopa mwandani wa sasa wa Majani.

Gazeti hilo liliendelea kueleza kuwa Kajala kwa sasa  yupo dabo kwenye mahusiano na  CK , bwana wa zamani wa Wema ambaye kwa sasa hali yake ya kiuchumi haina tofauti na Mr Nice.
Inadaiwa kuwa kinachosababisha ukaribu kati ya Kajala na P Funk ni mtoto wao Paula ambae kwasasa wanashirikiana  vya kutosha kumlea.
Si Kajala wa P Funk aliyethibitisha habari hii

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.