Wednesday, March 11, 2015

Anonymous

MZEE WA UPAKO ACHAFUA HALI YA HEWA IBADANI!

"WASIOENDA KANISANI NI MAFALA NA MABWEGE"
Ni kauli aliyoitoa Jumapili iliyopita Machi 08,2015 kupitia kituo cha Televisheni cha Channel Ten wakati akiongoza ibada huku akishangiliwa na mamia ya waumini wake. Kati ya mambo yaliyostaajabisha wadau wengi ni lugha ya matusi iliyotolewa na kiongozi huyo mkubwa wa dini ya kikristo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.