Gari ya Serikali aina ya Toyota Land Cruser yenye namba za Usajili STK 7278, ikiwa imeparamia ukuta wa Shule ya msingi Al Muntazir iliyopo kwenye makutano ya barabara ya Sea View na Barack Obama Drive jijini Dar es salaam mara baada ya dereva wake (jina kapuni) kushindwa kulimudu gari hilo pale alipochomekewa na gari nyingine ambayo iliingia mitini.
Ajali hii imetokea jana jioni wakati gari hilo likiwa linatokea mjini kuelekea Palm Beach hakuna aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.
Ajali hii imetokea jana jioni wakati gari hilo likiwa linatokea mjini kuelekea Palm Beach hakuna aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.

Note: Only a member of this blog may post a comment.