Thursday, March 26, 2015

Anonymous

LAZIMA UKAE: ETI HIZI NDIO TOP 5 ya sebule za wasanii wa Bongo ambazo hazivutii… #FixZaBabaLEVO

Baba Levo hakosi story yani.. Kakutana na watu wake wanamuuliza eti nini alichokiona alipoingia kwenye sebule za wasanii mastaa, wenye majina makubwa!

Anasema eti sebule ya Linah inaongoza kwa vitu feki, sebule ya Dogo Aslay inaongoza kuwa na joto kuliko sebule zote..
Baba Levo anasema sebule ya Madee iko kama gereji, spea tyre iko juu ya meza.. Jamaa anasema eti sebule ya Barnaba inaongoza kwa kochi zilizochakaa..

Hizi fix zimesikika AMPLIFAYANI, kama ulipitwa nimekuwekea hapa yote, bonyeza play na ukiisikiliza unaweza kuniandikia comment yako sebule ipi wewe imekufurahisha zaidi.
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.