Thursday, March 26, 2015

Anonymous

KUMEKUCHA INSTAGRAM: ZARI NA CHAGGA BARBIE WAPEANA ZA USO LIVE KISA BABA WATOTO WA ZARI!

Kumekucha instagram ni vijembe kwa kwenda mbele wanawake wenye mivuto ya kipekee zari na chagga bebe wapo ulingoni kila mmoja akijitapa kivyake sijui ndo kumgombania Ivan,mie sijui nani mchokozi ila nijuavyo tu boss lady huwa haongei ongei hadi achokozwe, ila hii ya Chagga Barbie Kujinadi Mitandaoni Anatoka na Ivan Baba Watoto wa Zari Imemuingia Kunako :

Soma Vijembe walivyokuwa wanajibishana hapa Chini:
Mukeyamganda ni Chagga barbie yule aliyewahi kuwa Girlfriend wa Prezzo na Kuachana kwa Aibu.


USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.