Tuesday, March 17, 2015

Anonymous

Picha: Alichokiandika Elizabeth Michael 'Lulu' akiambatanisha na picha ya Justin Bieber

Kama inakubukwa kuhusiana na ile story ya msanii wa filamu hapa nchini Diana Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu kuwa alikuwa anamkubali mwimbaji wa Canada ambaye anafanya kazi zake za kimuziki America, kijana Justin Bieber na pia hata kuhitaji kuwa naye.
Kuanza week hii, Lulu ameianza kwa maneno tofauti na ilivyotarajiwa akiwa kaambatanisha picha ya Justin Bieber. Lulu ameandika haya "Ts Monday aaaaayyyyt!????������ #MCM Uliamua kuni follow kwa Hiari Yako....vumilia Na Post Zangu Tafadhali ��Ahsante" huku akiwa kaambatanisha na picha hapo juu inayo onyesha mgongo wa Bieber.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.