Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Mshindi wa Big Brother Africa 2015, Idris Suleiman
PROJECT? Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful
Onyinye’ na Mshindi wa Big Brother Africa 2015, Idris Suleiman wamezua
gumzo hivyo mwanadada huyo kufunguka na kuweka mambo hadharani.
Wikiendi iliyopita, picha zao wakifanya shopping kwenye supermarket
moja iliyopo Makumbusho jijini Dar zilizua mtafaruku kwa mashabiki wao
ndipo staa huyo wa kike akafunguka.

Note: Only a member of this blog may post a comment.