SI siri tena! Staa wa wimbo wa Ndakushima, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwa sasa ameamua kukiri wazi kuwa ananogewa na penzi la Wema Sepetu ‘Madame’.
Akizungumza na paparazi wetu Februari 11, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Dimpoz alisema anawashangaa sana watu kuendelea kumsakama juu ya uhusiano wake na Madame wakati yeye anafahamu shemeji yake kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni Zarina Hassan ‘Zari’ kwa sasa.
Wakiwa kwenye pozi la kimahaba.
Mahabati ya Dimpoz na Wema yalianza kuonekana laivu juzikati wakati
wawili hao walipokuwa nchini Afrika Kusini wakidai kuna ‘project’ ya
ngoma mpya ya mwanamuziki huyo waliyokuwa wakiifanya kisha picha
zilizowaonesha wakiwa kimahaba zikavuja na kuzua gumzo mitandaoni.
KIVAZI CHA NUSU UTUPU CHA LULU CHAZUA BALAA BAR! APEWA ZA USO NA VIDUME!
===>>SHUKA NAYO HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
===>>SHUKA NAYO HAPA!
ASANTE NA KARIBU
TENA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.