Tuesday, June 2, 2015

Anonymous

YULE MWANASHERIA ANAYETAKA KUMCHUMBIA MTOTO WA RAIS OBAMA APATA DEMU BURE KENYA!

Baada yakuandaa mahali na kumsubiri mtoto wa Obama nchini kwenye mwezi huu wa sita,Binti wakikenya kushoto ajitokeza nakuomba aolewe yeye wajenge ikulu yao. Binti huyo ameandika barua kwa mwanasheria huyo akionesha mapenzi ya dhati amekua akimfatilia muda mrefu mwanaume huyo kwenye mitandao ya kijamii wala asijipe tabu kwa mtoto wa Obama yeye yupo tayari kuolewa naye.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.