Tuesday, February 3, 2015

Anonymous

PICHAZ: HATARI SANA! KIBAKA ALA KICHAPO KWA WIZI WA TAA ZA GARI UPANGA, DAR

Kibaka aliyetaka kuiba taa za gari akiwa amefungwa kamba sambamba na vifaa vyake vya uhalifu.
Taa ya gari ambayo tayari ilikuwa imefunguliwa na kibaka huyo.
Kibaka huyo akiwa chini ya ulinzi.
KIJANA mmoja anayedaiwa kuwa kibaka ambaye hakufahamika jina lake mara moja jana amepokea kichapo kutoka kwa wananchi baada ya kudaiwa kutaka kupora taa za gari la mwananchi mmoja maeneo ya Upanga jijini Dar es Salaam jana.
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!
(PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0712 919142)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.