Tuesday, February 3, 2015

Anonymous

AJALI MBAYA DODOMA! COASTER YAGONGA TRENI. SHUHUDIA PICHAZ HAPA!

Basi la abiria aina ya Toyota Coaster likiwa limepinduka baada ya kuigonga treni.
Taswira baada ya ajali hiyo.
Wananchi wakiwa eneo la ajali hiyo.
Basi la abiria aina ya Toyota Coaster lenye namba za usajili T 932 AFU linalofanya safari zake kati ya Nanenane na Ng'ong'ona mkoani Dodoma limepata ajali leo baada ya kuligonga treni na kupinduka maeneo ya Benki Kuu mkoani humo.
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde, endelea kufuatilia hapa!
USIOMBE YAKUKUTE: “UMASKINI WETU UMENIFANYA NIISHI KWA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU”
===>>SOMA ZAIDI HAPA! 
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

(PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0712 919142, DODOMA)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.