Wednesday, May 4, 2016

Anonymous

MAJANGA: Daladala Yaingia Njia ya Mwendo Kasi na Kuligonga Basi la Dart

Daladala yaacha njia yake na kuingia kwenye njia ya mabasi ya mwendo kasi na kuligonga basi la mwendo kasi lililokuwa katika majaribio...Sipati picha huyo dereva watamfanya nini....
MAJANGA HAYA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.