Tuesday, February 10, 2015

Anonymous

Nicki Minaj akana kumzuia Boss wake "BIRDMAN" kuingia kwenye party yake

Habari zilizokuwa zimesambaa siku ya jana ni kuwa, Nicki Minaj aliamua kumdiss Boss wake "Bird Man" kwa kuegamia upande wa Lil Wayne katika ugomzi walionao, baada ya kumzuia kuingia katika pre party.

CEO wa Cash Money alikataliwa kuingia kwenye pre party ya Grammy weekend hii na story zikazagaa kuwa Minaj anahusika katika kukataliwa kwake kwa kuwa yeye ndie aliekuwa host wa party hiyo.
Watu wa karibu na Nicki wamesema Bird Man alikataliwa kuingia club 1OAK kwasababu walikwa wakitaka kuagiza huduma za chupa (bottles) na club ilikuwa inafungwa ndani ya dakika 15.
Licha ya hivyo, inasemekana Nicki alikuwa kashaondoka na mataa ya ndani ya club yalikuwa tayari yameshawashwa.


Nicki na Drake wameamua kujiweka mbali na bifu linaloendelea kati ya Wayne na Birdman licha ya Wayne kusema ataondoka nao akiondoka Cash Money.

Drake na Nicki wanatamani mabosi wao wamalize tofauti zao kwa sababu inapoelekea ni pabaya, licha ya kuwa meli yenyewe ishazama kitambo. 
HATIMAYE OMMY DIMPOZ, AUNTY WAFUNGUKA KUHUSU PICHA ZA KIMAHABA ZA WEMA NA OMMY ZILIZOVUJA!
===>>SHUKA NAYO HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!  

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.