Stori: Mayasa Mariwata/Ijumaa Wikienda
MSANII wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amejikuta akimuonea wivu msanii mwenzike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kutokana na kuwa chini ya uangalizi wa meneja na kulipwa pato kubwa kwenye filamu.
Akipiga stori na paparazi wetu kuhusiana na ishu ya msanii huyo
ambaye ni mdogo zaidi yake, kufikia hatua ya kulipwa shilingi milioni
kumi na tano kwa filamu moja, ni mafanikio makubwa ambaye anayatamani
sana.
“Yani hao wanaompinga Lulu wanamuonea wivu tu, naamini analipwa hiyo fedha sababu yupo chini ya usimamizi wa kampuni kubwa ya Proin Promosheni, natamani na mimi ningekuwa na meneja wangu ningenufaika zaidi kama yeye,” alisema Davina.
MSANII wa filamu Bongo, Halima Yahaya ‘Davina’ amejikuta akimuonea wivu msanii mwenzike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kutokana na kuwa chini ya uangalizi wa meneja na kulipwa pato kubwa kwenye filamu.
“Yani hao wanaompinga Lulu wanamuonea wivu tu, naamini analipwa hiyo fedha sababu yupo chini ya usimamizi wa kampuni kubwa ya Proin Promosheni, natamani na mimi ningekuwa na meneja wangu ningenufaika zaidi kama yeye,” alisema Davina.
KIMENUKA MBAYA! FAMILIA YA MBASHA KIKAO KIZITO DAR!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.