Wednesday, February 4, 2015

Anonymous

IMEVUJA: JIONEE PICHAZ NICKI MINAJ NA MPENZI WAKE MPYA WAKIFANYA YAO [EXCLUSIVE]


Hivi juzi juzi kulikuwa na habari zilizo enea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na rapper Meek Mill kuwa na mahusiano na Nicki Minaj mara baada ya Meek Mill ku-post picha ya Nicki Minaj kwenye page yake ya instagram akiwa amevaa cheni yake.
Jambo hilo lilizua maswali mengi kwa watu kwamba iweje Minaj avae cheni ya rapper huyo huku akiwa amevaa vest tu.Wawili hao waliokuwa marafiki kwa muda mrefu sasa,wamezidi kuingia kwenye headlines baada ya picha hiyo ikionesha Meek Mill ana-mkiss Nick Minaj.
Katika tamasha la Bowl walionekana wakiwa deep in love tofauti na kawaida ilivyo zoeleka,lakini wawili hao walipo ulizwa walisema ni marafiki tu.
BIG SOO: MKONGWE R. KELLY AFANYIWA KITU MBAYA NA GENGE LA WAHUNI! 
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.