Msanii mkongwe wa R&B kutoka Marekani ameingia kwenye misukosuko mara baada ya kuacha kufanya show katika club ya gulf port.
Kulingana na taarifa, inasemekana R. Kelly alitekwa na kupigwa na vijana wa kundi moja linalo jiita Goons mara baada ya kugoma kufanya show kwenye club hiyo.
Madai nikwamba alipewa hela kwa ajili ya ku-perform lakini yeye hakufanya hivyo. Sababu zilizopelekea R. Kelly kutofanya show hiyo ni kutokana na kuwa na uvamizi wa majambazi katika club hiyo mara kwa mara.

PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.

ASANTE NA KARIBU TENA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.