Monday, February 2, 2015

Anonymous

HATIMAYE JOTI WA ORIGINAL COMEDY AMVISHA PETE MCHUMBA WAAKE WA SIKU NYINGI...TAZAMA PICHAZ HAPA

Kwa mujibu wa mtandao wa JF, Mwigizaji wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia.
Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio hilo.

Kandiliyetu.com bado haijazithibitisha taarifa hizi. Kama ni kweli, tunampongeza sana na kumtakia kila la kheri yeye pamoja na mwenza wake.
BREAKING NEWS: BONDIA MAARUFU FRANCIS CHEKA ATUPWA JELA MIAKA MITATU!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA. 
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!
-via Bongomovies

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.