Monday, February 2, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: BONDIA MAARUFU FRANCIS CHEKA ATUPWA JELA MIAKA MITATU

BONDIA Francis Cheka (pichani) leo amehukumiwa miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga meneja wake wa baa mkoani Morogoro mwaka jana. Cheka amehukumiwa katika Mahakama ya Morogoro.
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA. 
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.