Friday, February 6, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: VURUGU ZASABABISHA MECHI YA GHANA NA EQUATORIAL GUINEA KUSIMAMA

Mechi ya nusu fainal ya mashindano ya AFCON hatua ya nusu fainali baina ya GHana na wenyeji Equatorial Guinea iliyokua inapigwa muda huu imesimamishwa kwa takriani dakika 20 sasa kutokana vurugu za mashabiki wa timu mwenyeji baada ya kuwa nyuma kwa magoli matatu.

Helkopta ya kutuliza ghasia pamoja na vikosi vya usalama vinaendelea na juhudi za kunusuru mechi hiyo iendelee!

Hadi vurugu hizo zinatokea Ghana tayari walikua wapo mbele kwa kwa mabao matatu kwa bila!

TOKA NIKAE! Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amuanika Mpenzi Wake Mpya! 
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.