Wanajeshi wa Chad nchini Nigeria
Kundi la jihad lililoko Nigeria, Boko Haram, kwa mara ya kwanza limeshambulia Chad.Wakuu nchini humo wanasema kuwa, wapiganaji wa Boko Haram walivuka ziwa Chad kwa maboti usiku na kushambulia kijiji cha Ngouboua, kilichoko kandokando ya ziwa hilo.
Boko Haram!
Chifu wa eneo hilo ni miongoni mwa waliouawa.
Majeshi ya Chad yanasemekana kuwarudisha nyuma wapiganaji hao ambao wanadhibiti eneo kubwa la ziwa hilo upande wa Nigeria.Majeshi ya Chad yamekuwa yakikabiliana na Boko Haram nchini Nigeria taifa hilo ni la nne kushambuliwa na wapiganaji hao wa kiislamu.
PICHAZ: LIPUMBA AWASIHI JUVICUF WASIANDAMANE, WAKUBALIANA NAYE!
===>>SHUHUDIA HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
===>>SHUHUDIA HAPA!
ASANTE NA KARIBU
TENA!



Note: Only a member of this blog may post a comment.