STAA wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amewabwatukia watu waliomzushia kuwa amejifungua na kusema kuwa anawaona kama wametumwa na mapepo wabaya.

Staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
Akizungumza na Centre Spread, Aunty alisema anawashangaa
wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba
hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata ujauzito huo. “ Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya hao wanaozungumza kitu ambacho si cha kweli. Hakuna mtu ambaye anajua nilipata ujauzito lini na nitajifungua lini, waniache kabisa,” alisema Aunty.
MTOTO MZURI RECHO ATAJA MALI ALIZOPATA KUPITIA MUZIKI!
====>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
====>>SOMA ZAIDI HAPA!
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU TENA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.