Wachezaji kadhaa wa klabu ya Manchester United wanafanyiwa uchunguzi
baada ya kuhusishwa na tukio la kutengenezwa kwa mkanda wa ngono
lililofanyika ndani ya ukumbi wa starehe wa usiku .
Mwanamke mmoja ambaye hajatajwa amerekodiwa akiwa anafanya vitendo vinavyoshahibiana na ngono huku akiwa na mmoja kati ya wachezaji wa Manchester United ambaye si raia wa England kwenye choo cha klabu ya usiku huku moja kati ya wachezaji wenzie akiwa anarekodi tukio hilo kutokea juu ya mlango .
Mwanamke aliyehusika kwenye tukio hilo alihojiwa na gazeti moja la
kila siku huko England ambako alielezea jinsi alivyofedheheshwa na tukio
hilo ambapo alisema kuwa tangu wakati huo amekuwa akilia na hakutaka
kueleza zaidi juu ya kilichotokea .
Mwanamke huyo ana hofu ya kuwa wachezaji wengine wa kikosi cha United wanamfahamu na wataonyeshana video inayoonyesha kitendo hicho kitendo ambacho kitamshushia heshima .
Klabu ya United haijatoa taarifa rasmi juu ya tukio hili na hadi sasa hakuna mchezaji ambaye ametajwa kuhusishwa na tukio hilo .
Mwanamke mmoja ambaye hajatajwa amerekodiwa akiwa anafanya vitendo vinavyoshahibiana na ngono huku akiwa na mmoja kati ya wachezaji wa Manchester United ambaye si raia wa England kwenye choo cha klabu ya usiku huku moja kati ya wachezaji wenzie akiwa anarekodi tukio hilo kutokea juu ya mlango .
Mwanamke huyo ana hofu ya kuwa wachezaji wengine wa kikosi cha United wanamfahamu na wataonyeshana video inayoonyesha kitendo hicho kitendo ambacho kitamshushia heshima .
Klabu ya United haijatoa taarifa rasmi juu ya tukio hili na hadi sasa hakuna mchezaji ambaye ametajwa kuhusishwa na tukio hilo .
MSHTUKO! MTOTO MZURI DAVINA ASHAWAHI TUPWA SEGEREA, ASIMULIA KWA UCHUNGU!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!

Note: Only a member of this blog may post a comment.