NGULI wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’, amesema kamwe hatokuja kusahau mateso aliyowahi kuyapata akiwa Gereza la Segerea ambapo alikaa kwa siku tatu.
Nguli wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’.
Akipiga stori na Uwazi, Davina alisema tukio hilo lilitokea mwishoni
mwa mwaka 2012 ambapo ilikuwa ni tatizo la kifamilia lililosababisha
kutupiwa huko japokuwa hakuweza kuliweka hadharani kwakuwa bado lipo
mikononi mwa sheria. “Huwa natokwa machozi na kamwe sitokuja kusahau mateso niliyoyapata Segerea. Nilikuwa kwa siku tatu lakini niliona kama mwezi, hali ya hewa, sehemu ya kulala zilikuwa mbaya sana, wingi wa watu na sikupata hata nafasi ya kulala zaidi ya kukesha nikilia,” alisema Davina.
REKODI NYINGINE YA MANCHESTER UNITED ISIYOPENDWA NA MASHABIKI!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.