Friday, February 13, 2015

Anonymous

ACHA USHAMBA! Wanaume Masikini na Wasiojiamini Wanaongoza Kutongoza kwa Meseji Nyingi Halafu Ndefu!

Nimekaa sehemu leo napata lunch, mara dada mmoja mrembo aliyekuwa karibu yangu "kareact", "mameseji kibao halafu marefu, hayaeleweki.

Unanijazia tu inbox, utakuwa masikini tu wewe halafu hujiamini".Dah, nilishtuka sana. Baada ya dakika kama 2 hivi..
nikamuuliza dada yangu mbona hasira sana, kwa nini.


Akanijibu "kuna jianaume linanijazia tu inbox, linatuma messages nyingi, ndefu halafu halieleweki, wiki ya pili sasa, mie ananiudhi!"

Nikamuuliza "mbona unasema atakuwa masikini,akajibu "mtu mwenye hela zake na anayejiamini atahangaika kutuma mameseji kibao, marefu ambayo hata hayaeleweki."

Kwani huyo hawezi kuwa tajiri, lakini kumbe anafanya ufafanuzi kwa kuandika kwa kina,"ingawa simjui, atakuwa hana lolote, anafikiri akijieleza au kuandika sana nitamhurumia au nitamwelewa, akafie mbele huko, tena namblock, hii ni kawaida ya wanaume kapuku." 
MAKAVU LIVE: TID AJIBU MAPIGO, AMPA ZA USO Q-CHILLA TENA! 
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.